Leo tena malizia siku yako na RNB mbili kali

Leo tena malizia siku yako na RNB mbili kali

Gudasta

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2011
Posts
627
Reaction score
1,153
Wadau wa jamvi hili, hususani wapenzi wa rnb, Leo tena nawaletea mbili kali za kukuliwaza: Ya kwanza ni Have a little mercy kutoka kundi linaloitwa 4.0



Na track ya pili kwa siku ya leo ni All out of love, hii ngoma imeishawahi kuimbwa na Jagged edge, Air supply pamoja na Westlife, Mimi naipenda sana hii version iliyoimbwa na Andru Donald, napenda jinsi alivyoimba na video yake pia. Karibuni:


 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom