walikuwa wazee wa silent inn kila jumamos. kwa wakubwa wenzangu wa kitambo hicho yupo yule rapa wao Allan mulumba??!!
kama kuna mtu ana wimbo wa neema wa diamond musica plz
mwenye wimbo kimalu kimalu wa Diamond Musica International ya enzi zile atuwekee hapa.
Neema kumbuka kupata ni majaliwa mapenzi sio mali wala.... penzi ni dhamana ya moyo wangu tu yoooo
Kitambo sana , nilishautafuta sana lakini wapi. Kama kuna mtu anao atuwekee hapa jamani
walikuwa wazee wa silent inn kila jumamos. kwa wakubwa wenzangu wa kitambo hicho yupo yule rapa wao Allan mulumba??!!
Mkuu mi naambulia kukupa mstari huu tuu....
Daladala shiling mia shuka mama silent inn ooh twende tucheze..
Kimalumalu ezanga mbwila ye kumang'ana Silent-ine, kende kotala motema na ngai, mwana daimondo
Kimalumalu ezanga mbwila ye kumang'ana Silent-ine, kende kotala motema na ngai, wana daimondo
Daladala shingi mia tu, kumang'ana silent-ine na kende kotala motema na ngai, wana daimondo
Huyo alikuwa mtunzi Elystone Angai. Tafuta threads nyingine utakuta animeweka link ya Soundcoud account yangu yenye hizi nyimbo mbili tatu! I could have posted here as well but this being such anold post, can't see the necessity!