Hii Choice Fm imeanza kutangaza Kiswahili 100%?

Hii Choice Fm imeanza kutangaza Kiswahili 100%?

mpenda pombe

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2010
Posts
1,410
Reaction score
722
Wadau,

Hii choice fm leo nimeisikiliza, mwanzo mwisho ni kiswahili.

Imenishangaza sana.
 
Swahili is not a big deal but it has lost all the taste being no different from other stations ........ Generally boring
 
kwa jinsi ile radio ilivyo wanapaswa kupiga ngeli tu mwanzo mwisho na swahili wadokoe tu kidogo kama alvokua anafanya vanessa mdee coz soko lake ni kwa watalii na wasiojua swahili so kama wameanza kugandamizia swahili 24hrs basi wamepoteza theme kuu ya radio yao... au ndo mabadilikooo? kama east africa radioooo?
 
Choice FM haiwezi fanana na East Africa Radio, maana kuna mtu aliniambia kwamba ukiona radio inaitwa fm ujue ni ndogo ila ukisikia kuna neno Radio kwenye jina lake ni radio kubwa na yenye masafa marefu sana Sisim East Africa Radio mpaka kampala,nairobi na masehemu mengine huko, BBC Radio World Service, lakini fm ni humu humu tu Tanzania na sehemu zingine ni wilayani au mkoa huo tu aisee hahahaha
 
Ni kweli Kiswahili kimetamalaki. Sijui imekuwaje tena!
 
Back
Top Bottom