Mkulima na Mfugaji
JF-Expert Member
- Jul 26, 2013
- 1,056
- 1,867
samahani wadau kama kuna mwenye huu wimbo auweke kwani nimeutafuta sana nimeukosa.
ABUBAKAR SHEKAU - kiongozi wa Boko Haram? Ndiye role model wako huyu jamaa? Kazi ipo!samahani wadau kama kuna mwenye huu wimbo auweke kwani nimeutafuta sana nimeukosa.
ABUBAKAR SHEKAU - kiongozi wa Boko Haram? Ndiye role model wako huyu jamaa? Kazi ipo!
Ilishapigwa marufuku hiyo nyimbo. Niiweke hapa sijipendi? Tena nimwekee ABUBAKAR SHEKAU?kama unayo we iweke maswali mengi ya nn?
Ilishapigwa marufuku hiyo nyimbo. Niiweke hapa sijipendi? Tena nimwekee ABUBAKAR SHEKAU?