Real One
JF-Expert Member
- Jun 26, 2014
- 2,158
- 1,881
Wadau watasnia ya sanaa hususani burudani ya mziki nadhani sasa ndiyo mda muafaka wa kupata burudani kutoka kwa wasanii wetu.
Nahisi wiki hii au ijayo wasanii wetu wataanza kuporomosha nyimbo zao baada ya kimya cha mda mrefu.
Wasanii wengi baadhi yao kama kala Jeremiah,Weusi, Ben pol,Timbulo na wengine wengi nimewasikia wakijisifu kwamba wamewaandalia mashabiki wao nyimbo kali ambazo wanadhani zitakuwa hit songs.
Wasanii hao wamesema walishindwa kuzitoa nyimbo zao kwa kuwa watanzania wengi akili zao waliziamishia katika siasa.
Kwa sasa tumeshamaliza uchaguzi na rais amekishapatikana na sisi watanzania akili zetu zimeshatulia tunasubiri sasa mfululizo wa ngoma kali na video kali.