Baada ya ukimya wa muda mrefu, hatimaye leo Mfalme wa Bongo Flavor " Alikiba" ataenda kuachia wimbo wa Taifa aliyoimba na Christian Bella,
Baada ya Bella kuona anataka kuzidiwa ikabidi aimbe na...
Wakuu wa entertainment!
Moussa Diallo simfahamu, lakini kuna wimbo mmoja maarufu sana bahati mbaya nimesahau jina lake. Ni maarufu kwelikweli ila wa zamani pia! Nasikia aliyeimba wimbo huo ni...
Mwanamuziki Adele hivi karibuni ameachia kibao chake kinachoitwa hello, ni ngoma ambayo imepata waangaliaji wengi youtube kwa kipindi kifupi, kusema ukweli ni kibao kizuri kakiimba vizuri na...
Jamaa mmoja huko nchini Zimbabwe kwa babu Mugabe kashinda kwenye shindano
la kumsaka mkali mwenye sura ngumu (sura ya kiume) , na hatimaye kujishindia
kiasi cha Dollar 500 US,
Jamaa huyo...
Bwana Yesu Asifiwe!
Ile dhana kwamba usanii ni kuelimisha jamii, sasa kwa baadhi ya wasanii wetu wa muziki wa bongo fleva umepotoka na hatimaye kuiharibu jamii.
Hili linatokea pale wanapotoa...
Habari zenu? Jamani yeyote alie mpenzi wa tamthiliya hii inayooneshwa ITV na CITIZEN tupeane habari zaidi ningependa kujua anaefahamu marudio yake kwenye citizen tv maana wao huionesha saa8 mda wa...
Wanajukwaa najua kuna baadhi yetu tunapenda muziki na huenda katika nyimbo unayoipenda kuna baadhi ya maneno huwa huyapati vizuri so tutakuwa tukipeana lyrcis za nyimbo hapa.
Hili ni kama...
Baada ya kazi hii kutambulishwa rasmi jana kupitia kituo cha Mtv base, leo Joh makini amekiachia upande wa youtube
Wimbo : Dont bother
Producer : Nahreal
Director : Justin Campus
Location : South...
Msanii aliyesainiwa chini ya WCB, Harmonize leo ameachia rasmi video ya wimbo wake Aiyola..
Video hii wameshoot South Africa na imeongozwa na Nick Roux (moja ya video alizotengeneza ni Love...
habari wakuu natafuta huu wimbo wa zouk wenye maneno haya
Wimbo wa kwanza 1
KATA LAYI SOKI O BINAKI
TE Tete eeeeeeeeh, TITA ANHAAAAA TITANIKEEEEE OYA TITA YAYA ANHAAA TITANIKEEE...
Nimekuwa nafuatilia mziki kwa muda mrefu. hivi sasa namuona huyu msanii nikk mbish au baba malcom, analeta bifu zisizo na msingi.alianza kumponda nakki wa pili ktk wimbo wa punchi kwenye line...