U uncle JF-Expert Member Joined Dec 10, 2007 Posts 325 Reaction score 184 Dec 26, 2015 #1 Habari Nataka kwenda muona Christian bella ,mwenye jua ratiba ya leo Boxing day. naomba anijuze
R Rweza79 JF-Expert Member Joined Feb 29, 2012 Posts 207 Reaction score 48 Dec 26, 2015 #2 Ngoja waje wenye ratiba kamili kaka.
Nje ya Mada JF-Expert Member Joined Sep 30, 2015 Posts 1,399 Reaction score 492 Jan 11, 2016 #3 Leo atakua kwenye boxing za matumla Jr