Wadau,mwenye hili song jipya la TUNDAMAN liitwalo MAMA KIJACHO,naomba mniwekee hapa au mnitumie wasap kupitia 0712421642....ni bonge la ngoma aisee.nimelisikiliza kwenye radio station
Wadau,mwenye hili song jipya la TUNDAMAN liitwalo MAMA KIJACHO,naomba mniwekee hapa au mnitumie wasap kupitia 0712421642....ni bonge la ngoma aisee.nimelisikiliza kwenye radio station
Tunda Man mwaka jana July alisema anaacha bongo flava anaanza kuimba Kaswida...... Vipi ndio kaswida hiyo au vipi maana kama hailekeei vile jina "mama kijacho"Wadau,mwenye hili song jipya la TUNDAMAN liitwalo MAMA KIJACHO,naomba mniwekee hapa au mnitumie wasap kupitia 0712421642....ni bonge la ngoma aisee.nimelisikiliza kwenye radio station