Wapi naweza kujifunza UDJ

Mavura255

Member
Dec 27, 2015
17
6
Habari zenu wana Jf hope mko poa mi ni kijana mwenye ndoto za kuja kuwa dj nipo dar es salaam sina uwezo wa kwenda chuo ila nina imani kuna academy mbali mbali wanafundisha u dj lakini sijui zimelocate wapi ninaomba msaada tafadhali
 
Udj haufundishwi, ni mautundu na kipaji. Nunua mashine chezea nyumbani kwako, siku hizi kuna software nyingi tuu za computer ndizo wanatumia
Kwa unataka kuniambia nitafte softwere ya dj yoyote nikaweka_kwenye laptop yangu itakua fresh
 
Udj enzi hizo... Mwanaume anacheza na turn table tu.. Panga pangua.. Za mbele na za kibongo.. Bandika bandua.. Hip Hop na Bongo Flava.

Wapi DJ BonnyLove
 
Kwanza inabdi upende mziki" mautundu yko tu utatoka cdhani kama kuna dj yoyote bongo hapa ambaye kasomea hyo kazi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom