Sembeta jr
JF-Expert Member
- Sep 26, 2011
- 805
- 367
Kuna nyimbo ya zilipendwa ya zamani kidogo naitafuta sana nadhani inaitwa tabu ila sina uhakika na jina aliyeimba simjui ila inaimbwa ivi. . . ." ni wewe kipenzi nikupendae, kwa jina unaitwa tabu. . . mwenye sura nzuri ya kupendeza. . . . . ." nk. . kwa mwenye nao au link ya kuupata tafadhali . . . natumia simu.