Album Bora Bongo Flava

Album Bora Bongo Flava

JAYJAY

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2008
Posts
8,797
Reaction score
9,163
Nasikitika utaratibu Wa kutoa albums no kama umekufa Bongo.

Ila zifuatazo kwangu ndio albums bora kupata kutokea.
1. Millennia - Mr. II (Sugu)
2. Itikadi - Mr. II (Sugu)
3. Ulimwengu Ndio Mama - Jay Moe
4. Machozi Jasho Na Damu - Prof Jay
5. aka Mimi - Man Ngwea
6. Vina Mwanzo Kati Na Mwisho -Fid Q
7. Crazy GK - album yenye wimbo Wa Simba Wa Afrika
8. Afande Sele - Mkuki Moyoni
9. AY & FA - yenye wimbo habari ndio hiyo.

Hizi ndio albums za ukweli kimtazamo wangu . Na jambo zuri ni Kuwa ninazo zote hizo katika kaseti. Unadhani IPI imekosekana hapo?
 
Ndani ya bongo mr 11
Nje ya bongo mr 11
Machozi jasho na damu jhaule
 
Ubora unaweza ukawa subjective... Kwahio ili wote tuwe kwenye mstari inabidi tuulizane ubora kwenye nini ?

  • Kwenye mauzo ?
  • Kwenye Utunzi ?
  • Kwenye kupendwa, Vina au Ujumbe.... ?
  • Nyimbo nyingi Nzuri kwenye Album ?
  • Tracks za Kutosha ?
  • Au.........
 
Kwenye mauzo ni ngumu kwa kuwa hakuna takwimu Za mauzo. Ila ni meseji pamoja na ukali Wa nyimbo. Yaani hakuna wimbo ambao umewekwa tu ili kujazia tu idadi.
 
Ndani ya bongo mr 11
Nje ya bongo mr 11
Machozi jasho na damu jhaule

Nje ya Bongo ninayo INA ngoma ya Deiwaka. Ingawa kwenye list haipo. Album ya NNe ya Mr II baada ya Ni Mimi, Ndani ya Bongo na ....(nimeisahau jina ila ina wimbo Haina Noma kafanya na GWM) ni poa nayo ingawa siioni ikiingia kwenye list. Machozi Jasho na Damu nimeitaja humo.
 
Nasikitika utaratibu Wa kutoa albums no kama umekufa Bongo.

Ila zifuatazo kwangu ndio albums bora kupata kutokea.
1. Millennia - Mr. II (Sugu)
2. Itikadi - Mr. II (Sugu)
3. Ulimwengu Ndio Mama - Jay Moe
4. Machozi Jasho Na Damu - Prof Jay
5. aka Mimi - Man Ngwea
6. Vina Mwanzo Kati Na Mwisho -Fid Q
7. Crazy GK - album yenye wimbo Wa Simba Wa Afrika
8. Afande Sele - Mkuki Moyoni
9. AY & FA - yenye wimbo habari ndio hiyo.

Hizi ndio albums za ukweli kimtazamo wangu . Na jambo zuri ni Kuwa ninazo zote hizo katika kaseti. Unadhani IPI imekosekana hapo?

Kama umeiweka hii ya Ngwair, ni tosha kwangu.
 
Mbona sijaona 'Ugali' ya Juma Nature hapo!?
Na ile ya Gangwe Mobb 'simulizi za fasaha' nlikuwa na cassette yake enzi niko class 5...na Albamu Bora kabisa Ya Ferooz ilikuwa na ngoma Kama vile starehe, jirushe, Bosi, n.k...
 
E="Savimbi Jr, post: 15035683, member: 55316"]HBC Funga Kazi Haipo? Hard Blasters Crew.[/QUOTE]
Bonge moja LA mistake hiyo nayo naiongeza kwenye list. Samahani HBC kwa kuwachukulia poa ila hiyo ni bonge LA album ndani kuna ngoma Mamsapu. Kitu kizuri ni Kuwa niliwachangia HBC kwa kununua album yao. Hiyo ni namba 10.
 
Mbona sijaona 'Ugali' ya Juma Nature hapo!?
Na ile ya Gangwe Mobb 'simulizi za fasaha' nlikuwa na cassette yake enzi niko class 5...na Albamu Bora kabisa Ya Ferooz ilikuwa na ngoma Kama vile starehe, jirushe, Bosi, n.k...
Juma nature album yake ya kwanza "nini chanzo" inaingia humo namba 11. Good thing ninayo kwenye cassette. Album Kali nayo. Akhasante kwa kunikumbusha. Hiyo Ugali sidhani kama inastahili.
 
Ningeisahau vipi album hiyo man!? Imo humo man.

Mimi kwa Album za Bongo Fleva kuwahi kuzikubali hii ni funga kazi.

Wakati wimbo wa Mikasi unakuwa Released 2004 nilikuwa Kahama, nakumbuka ni kipindi cha kutoka ngoma kama Mambo Vipi (Mchizi Mox), Sauti ya Gharama (Dnob), Starehe ya Ferooz ilikuwa imetoka siku chache kabla, wakati huo huo Gheto Langu ilikuwa bado haijachuja, Joh Makini pia wimbo wake wa kwanza kuusikia ilikuwa hiyo 2004 (Nivipi, niaje) etc.

Good Old Days.
 
Back
Top Bottom