Usikimbilie ndoa

platozoom

JF-Expert Member
Jan 24, 2012
9,405
11,284
Utabeba vibovu kuyakimbilia mapenzi.

Usijeitaka ndoa kwa pupa...usikimbilie mume utaukondesha moyo.

Naupenda sana huu wimbo. Melody, beats na mtiririko wa mashairi.

Ni Kassim Mganga amemshirikisha Christian Bella.
Mwenye mashairi yake aweke hapa.
 
Mi nimempenda yule msichana aliyecheza video take Tu, yaani ananikumbusha my crush wa primary
 
Mi nimempenda yule msichana aliyecheza video take Tu, yaani ananikumbusha my crush wa primary
Yuko bomba sana. Halafu kuna yule anayekata mauno bila kuonyesha sura....natamani ageuke
 
Yuko bomba sana. Halafu kuna yule anayekata mauno bila kuonyesha sura....natamani ageuke

Ndio yule dancer ni matata sana, anajua kuchezesha nyonga yake. Lakini mi nimekufa kwa yule video queen tu. Kama kuna mtu anamfahamu anipe jina lake kamili nataka kum-google sijui ntampata wapi? Rangi hadimu ile
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom