SEHEMU YA SITA
THE GIRLS IN ISLAND 06
Baada ya mwendo mrefu, tuliona mwisho wa msitu huo na mbele yake kulikua na majani mafupi kama yaliyolimwa. Tukakazana mpaka tukafika eneo hilo...
Wazee na wanaJamvi,
Leo,katika collection zangu za bongo fleva nimekutana na mkongwe ambaye sasa ameshatangulia mbele za haki,Complex.Kwakweli,jamaa aliwahi mapema sana wakati ndio alikuwa...
SEHEMU YA NNE
THE GIRLS IN ISLAND 04
Ndani ya mwezi mmoja tu, ulitosha kabisa kumpa umaarufu Mac Donald kutokana na utajiri aliokuwa nao na kuvumbua madini ya aina mbali mbali ambayo...
Wakuu,
Najua mtamkumbuka huyu kijana wa Kibongo flavor ambaye mwanzoni pindi anaanza mziki alifananishwa na Marlaw wa bembeleza, baada ya kutoa hits kibao kama Natumaini, Narudi Kazini n.k...
Kwa wapenzi wa Muziki wa Injili Tanzania
Muziki wa Injili hapa kwetu ulianza miaka ya 1980"s kwa kuwa na vikundi vya kwa kwaya na waimbaji binafsi wakiwa na lengo la kuhubiri kwa njia ya muziki...
Wakuu nahitaji majina ya nyimbo za zamani kidogo, sio za tanzania wala congo, type zile za akika mtukudzi, oliver ngoma, au kina monica seca, kama kuna mtu anajua nyimbo zuri kutoka kwa wasanii...
Offlate, mziki wa Tanzania ndio unaoBoom ukilinganisha na nchi nyengine za Afrika Mashariki zikiwemo Kenya, Uganda, Rwanda na Burundi. Zamani mziki wa Kenya ulitamba sana kipindi cha kina Jua...
Unajikubali wewe bonge la dem, kipaji unacho, mvuto na kila kitu yani 100% haijalishi uko single au uko na boyfriend, Mishen town au mke wa mtu, model ama kimbaumbau, umealikwa Escape 1 Jumapili...
Wimbo wa Dini, kusifu na kuabudu kutoka Jamaika, kwa msanii maarufu wa Reggae/Ragga/Riddim, Busy Signal... Furahia!
Mistari
Things and Time strange
El Shaddai El Shaddai
Mi call pan de fatha fi...
Leo finally gets his Oscar... and leaves Kate Winslet in tears! The Revenant star DiCaprio follows Best Actress Brie Larson with gong - and he's the ONLY star whose speech isn't cut off by music...
Tafadhali naomba kufahamishwa jambo hili maana nilikuwa shabiki mkubwa wa hawa wasanii.
Ester wasila.. Alitamba na kibao-sheila.
Hawa.. Aliyeshirikishwa na diamond katika wimbo- nitarejea...
Hope your alright,
Sitaki kupoteza mda ila moja kwa moja niwataje wasanii hawa na wewe uweke wakwako wenye sifa kama hii ya kuaibisha bongo flava yetu.
Baraka da prince alitoa ngoma kali na...