Wajibu mkuu wa Taasisi ya Hakimiliki Tanzania (COSOTA) kwa wasanii ni kusimamia, kulinda, na kutetea haki miliki zao za kazi za ubunifu. Majukumu haya yanajumuisha ukusanyaji na ugawaji wa...
Huu ni ukrasa maalum kwaajili ya kuomba nyimbo zenye mahadhi ya kiafrika hasa za Kikongo. Nitajitahidi kadri ya niwezavyo nizipost kadri zinavyoombwa.
Pia, bongo fleva za zamani ni mahara pake...
Wakuu kuna hizi nyimbo zenye asili ya kenya maarufu kama katitu
Nina shida nazo nilikuwa nazisikia zamani lakini saivi sizikii tena mbaya zaidi hamna hata moja nayokumbuka
nazipataje je...
STORY: SIKU ZA GIZA
MWANDISHI: FEBIANI BABUYA
WHATSAPP: +255621567672
EMAIL: thomasibabuya@gmail.com
AGE: 18+
UKURASA WA KWANZA
DARK DAYS
INTRO.
USIKU:
INASIKIKA SAUTI YENYE MSISIMKO MKALI...
Hadi leo huyu shangazi yangu ananichukia kwa sababu mwaka 2007 aliniomba ni-tune Radio Maria ili askilize kipindi cha 'chaguo lako' ambapo mimi niligoma kufanya hivyo kwani kipindi hicho kilikuwa...
1: nini mnataka mazee - piggy black
https://youtu.be/dCOyQ05vS68?si=uECRMWaSnpW4Q9CI
2: sonia - juma nature
https://youtu.be/uA9-zhfpUjM?si=QhUUlDaEV8M1T-kh
3: ya leo kali - wachuja nafaka...
My fond memory ya huu muziki huu ni pale baba mdogo wangu alipo leta albamu ya sugu nyumbani, ilikuwa na picha ya sugu amefungwa pingu mikononi kashikilia mic na shampeni, humo kulikuwa na ngoma...
Tofauti na movie ubora wa Tv series unapimwa na mambo mengi, ila sana sana ni namna story inavopikwa na kuweza kumshika mtazamaji episode baada ya episode, Twende moja kwa moja kwenye mada list...
Katika muziki wa kisasa, mafanikio ya wimbo hayategemei tu ubora wa sauti au video, bali pia mchanganyiko wa ubunifu, mitandao ya kijamii na wakati sahihi (timing). Hii inafanya baadhi ya nyimbo...
Sherida ... Zacksoul... Wame UNDERPERFORM ila ni vile wabongo tunabebana.... The only good performer ni Samalerah this Round 1 na Comedian wa Mbeya kidogo na so fire....
Ila S2Kzy eti kingereza...
RAISI WA MANZESE MADEE.
Hamad Ally a.k.a madee msanii wa Bongo fleva , moja kati ya wasanii wa Bongo fleva waliokuwa wanaunda kundi la Muziki linaitwa " Tip top connection" , kundi la muziki...
KWENYE MASHINDANO YA BONGO STAR SEARCH USITEGEMEE KUSHINDA KAMA UTAIMBA NYIMBO ZA BONGOFLEVA ALAFU WENZAKO WAIMBE ZA KIZUNGU.
Anaadika, Robert Heriel
Mtibeli
Juzi nilikuwa Mbweni kwenye finali...
Inauma na inaumiza sana, sina maneno mengine yakuieleezea hisia yangu juu ya Muziki na namna Unavyochukuliwa na wanaojiita wadau wa Bongo Flava.
Sipendelei sana kuandika nyuzi ila mpaka leo...
MUHTASARI
Faraja zote walizozitegemea baada ya ujio wa uongozi mpya, zilipotea. Maisha kupanda, mfumuko wa bei ya vitu, ufisadi, ukosefu wa ajira, rushwa ya kila namna. Watu walimlaani Rais...
Wana jamvi,mimi ni mdau mkubwa wa mziki wa mchiriku/mnanda. Mziki ambao ulitawala na kujizolea umaarufu mkubwa kwenye miaka ya 90 hadi 2000,binafsi nimekulia kwenye jamii yenye kuhusudu mziki huo...
Nchi zinazojitambua zinajitahidi Kutunza mitaji ya ndani na hivyo kila fursa inayopatikana inatunzwa kwa faida ya Nchi.
Kirando cha kumnyima Mtanzania (alistahili) Sofia (So-Fire) zawadi ambayo...