Godoro la kioo
JF-Expert Member
- Aug 2, 2025
- 436
- 928
Wakuu kuna hizi nyimbo zenye asili ya kenya maarufu kama katitu
Nina shida nazo nilikuwa nazisikia zamani lakini saivi sizikii tena mbaya zaidi hamna hata moja nayokumbuka
nazipataje je mtandaoni zipo kweli
Nina shida nazo nilikuwa nazisikia zamani lakini saivi sizikii tena mbaya zaidi hamna hata moja nayokumbuka
nazipataje je mtandaoni zipo kweli