WAR ZONE: T.I a.k.a T.I.P IS BACK WITH BLACK LIVES MATTER

WAR ZONE: T.I a.k.a T.I.P IS BACK WITH BLACK LIVES MATTER

MALCOM LUMUMBA

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2012
Posts
21,759
Reaction score
71,748
Aisee hii video imechefua sana baadhi ya watu lakini ndiyo hivyo, bonge la ngoma balaaa.
Kasema mauji ya mtu mweusi siyo HOMICIDE bali ni GENOCIDE; vita dhidi ya madawa ya kulevya ni vita dhidi ya watu weusi.
Japo ngoma haiwezi pata promo kubwa sana, mpaka sasa views kidogo sana. Wengi hawajaipenda sana. Huko mitandaoni inapondwa sana.

Yes, mwishoni kaua sana alivyomaliza na Sauti ya Jane Elliot; kudadekii this is a masterpiece.



CC: kui , Benny , housegirl ,Red Giant , FisadiKuu
 
Back
Top Bottom