the event
Member
- Nov 7, 2013
- 83
- 20
Haya haya kumekucha huko kwa madiba...ni zile tuzo za (MTV Africa Music Awards) ndo zimerudi tena..Na kama kawaida yule raisi wa bongofleva anaendelea kupeperusha bendera ya nchi kwa uzuri zaidi...Na safari hii amechaguliwa kushindania tuzo za MTV kipengele cha "BEST MALE ARTIST" na kama mnavyojua wadau kipengele hicho ndicho kipengele chenye mvuto zaidi katika tuzo hizi kwasababu zinawakutanisha VIGOGO wa muziki wa hapa Africa kama vile...
☞BLACK COFFEE (SOUTH AFRICA)
☞WIZKID (NIGERIA)
☞PATORANKING (NIGERIA)
☞AKA (SOUTH AFRICA)
...Na kwa mara nyingine tena DiamondPlatnumz anadhihirisha kwamba kwa hapa bongo hakuna kama yeye baada kua mtanzania pekee kwenye kipengele hicho pendwa zaidi...
...
Sutaki kusema mengi sana wadau...Naenda chimbo nikirudi nitawaeleza namna ya kumpigia kura kihalali kabisa huyu BABA SALOME [HASHTAG]#staytunned[/HASHTAG]