Best street perfomance: Watu wanatumia vipaji vyao

Best street perfomance: Watu wanatumia vipaji vyao

MALCOM LUMUMBA

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2012
Posts
21,765
Reaction score
71,801
Maishani kuna njia nyingi sana za kutoka kama una kipaji.
Ila kwa wenzetu huko ameshavuta hela ya kumsukuma siku mbili tatu hivi, hapo bado YOUTUBE, bado live performance sehemu nyingine.

Damiyr performs- Asaf Davin"Day of the Reckoning"
Jamaa anapita akaijiunga na kuanza kucheza, nimeguswa sana.

Unknown Strangers performs- Nina Simone "Feeling Good"

Unknown choir performs a Hymn- Joyful Joyful we adore thee
The whole Mall joined them.

Unknown couple performs- Adele "someone like you"

Unknown guys perfoms- Bob Marley "NO Woman no cry"

.Mr Reed- What do we desire

Damiyr- Who am I

TAHADHARI: KWA WALE WASANII WALIO HUMU, USIJARIBU KUFANYA HIVI DAR ES SALAAM.
HAKI YA MAMA MAKONDA ATAKUSWEKA RUMANDE. HILO GITAA NA NGOMA ZAKO VITACHOMWA MOTO. HAYA WANAYAWEZA WAZUNGU TU.

SO BE WISE, BE SAFE, DON'T TRY THIS IN BONGO.
😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀

CC: kui , Red Giant , UncleBen , Nifah , housegirl
 
Awww, that's so nice!
Hiyo ya juu mpita njia tu kaguswa kaanza kuzirudi, nimempendaje sasa.

Umenichekesha wewe eti don't try this in Bongo, kwa wenzetu ni entertainment lakini kwetu utaonekana hamnazo...lol
 
dah, video zimenokosha sana. huyo damiyr na kwaya kwenye mall wametisha sana. bendi na wanamuziki wengi huanza namna hii.
 
Awww, that's so nice!
Hiyo ya juu mpita njia tu kaguswa kaanza kuzirudi, nimempendaje sasa.

Umenichekesha wewe eti don't try this in Bongo, kwa wenzetu ni entertainment lakini kwetu utaonekana hamnazo...lol
bongo watasema uzururaji na starehe muda wa kazi, kumbe upo kazini.
 
Aisee ndugu yangu sijui kwanini sipati notifications zozote ,Mods nimewaambia naona bado wako busy

Hapa nimefanya kunyatia ndio nikakuta ume ni mention

Hivyo vitu tusikie tu kwa wenzetu ,Bongo hata ukiwa geust house unakamatwa
 
Awww, that's so nice!
Hiyo ya juu mpita njia tu kaguswa kaanza kuzirudi, nimempendaje sasa.

Umenichekesha wewe eti don't try this in Bongo, kwa wenzetu ni entertainment lakini kwetu utaonekana hamnazo...lol

Kweli don't you dare try it.
😀😀😀😀😀😀😀
 
  • Thanks
Reactions: kui
Aisee ndugu yangu sijui kwanini sipati notifications zozote ,Mods nimewaambia naona bado wako busy

Hapa nimefanya kunyatia ndio nikakuta ume ni mention

Hivyo vitu tusikie tu kwa wenzetu ,Bongo hata ukiwa geust house unakamatwa

Hata mimi zinasumbua sana.
 
Back
Top Bottom