Marco Polo
JF-Expert Member
- Jan 16, 2014
- 13,332
- 21,202
Ziwe za kiswahili ama kiingereza si vibaya mkaniongezea zaid ya hizi nizijuazo....nazihusudu kwakuwa huwa zinaniondoleaga stress ...
nampendaga sana huyu jamaakwenye commedy iyachukua miaka 100 kutokea kama huyu
![]()
![]()
![]()
anaitwa nani mkuu niliona vituko vyake somewhere nikiwa nasafiri nilicheka kwelikwenye commedy iyachukua miaka 100 kutokea kama huyu
![]()
![]()
![]()
charlie champlineanaitwa nani mkuu niliona vituko vyake somewhere nikiwa nasafiri nilicheka kweli
shukrani leo wkend nitashinda you tube kumchekiaharlie champline
hivi ni bubu au maana nilivoviona alikuwa haongei kabisaCharles Chaplin ni bora kupita kawaida.
sorry charlie champline ananichekeshaga sanashukrani leo wkend nitashinda you tube kumcheki
Haha hapanahivi ni bubu au maana nilivoviona alikuwa haongei kabisa
siku ambayo angeongea angepigwa marufuku kuchekesha watuhivi ni bubu au maana nilivoviona alikuwa haongei kabisa
Hapana, siyo bubu ungekuwa na clips nyingi ungeiona moja wapo amecheza kama Dictator Hitla ambapo alikuwa anaongea vizuri tu. Ila clip nyingi amecheza kimya kimya tu.hivi ni bubu au maana nilivoviona alikuwa haongei kabisa
kwanini?siku ambayo angeongea angepigwa marufuku kuchekesha watu