Wako Wapi Hawa Ndugu?

mizarb

JF-Expert Member
Feb 15, 2013
1,401
1,280
Muziki ni sanaa ambayo ni ufundi wa kuwasilisha mawazo yaliyomo katika fikra za binadamu ili yadhihirike na kufikisha ujumbe uliokusudiwa kwa walengwa.

Malengo makuu ya sanaa ni pamoja na kuelimisha, kuonya, kuburudisha na kuelekeza jamii.
Sanaa pia ni utambulisho wa jamii husika.

Muziki umeelezwa kuwa ni “mpangilio wa ala na uimbaji unaoleta athari fulani kwa kiumbe”.
Hivyo bila mpangilio wa ala na kuimba, kitakachofanyika ni kelele za kawaida.

Kwa kipindi fulani hawa ndugu waliwasilisha fikra zao na kuvuta jamii kubwa tu kwa muziki wao......
Hivi sasa wako wapi hawa ndugu?

1. Spark, yule wa Nipe ripoti

2. Top C, yule wa Ulofa

3. Sam wa Ukweli, yule wa Hata Kwetu Wapo
 
Back
Top Bottom