New song: ruby -wale wale (Disstrack kwa clouds fm)

STUNTER

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2015
Posts
13,077
Reaction score
17,262
Huu wimbo mpya wa Ruby kwa ambaye ameuskiza basi anaweza akakubaliana na mimi kwamba
hii ni Diss ya waziwazi kwenda kwa Clouds,

Ikumbukwe kuwa Ruby na Clouds hawana maelewano mazuri tangu ilivyosemekana kwamba wametibuana kwenye mambo ya maslahi kwenye Tamasha la Fiesta.
OVA..!!

Nimeisikiliza kiukweli nyimbo ni yakawaida sana huyu binti ilitakiwa ajinyenyekeze kwanza kama wenzake wakina maua sama baadaye akiwa amesha fahamika na kuwa na mashabiki wengi ndio achukue uamuzi mzito Kama aliouchukuwa!
 
Huu wimbo mpya wa Ruby basi anaweza akakubaliana na mimi kwamba
hii ni Diss ya waziwazi kwenda kwa Clouds,

Ikumbukwe kuwa Ruby na Clouds hawana maelewano mazuri tangu ilivyosemekana kwamba wametibuana kwenye mambo ya maslahi kwenye Tamasha la Fiesta.
OVA..!!

uweke kama umeamua kutupa taalifa

hebu jaribu kua msomi

sema bifu lilianzaje

ikawaje

na nyimbo inasemaje

tujue sio unatoa thread kama wewe ndo wataka kujuzwa
 
Kama haujui kipi kinachoendelea basi ujue haya mambo hayakuhusu mwana,
Alafu kama unashindwa kujiongeza kwenda kuidownload basi endelea kusubiri utaletewa hapahapa JF
 
Nimeisikiliza kiukweli nyimbo ni yakawaida sana huyu binti ilitakiwa ajinyenyekeze kwanza kama wenzake wakina maua sama baadaye akiwa amesha fahamika na kuwa na mashabiki wengi ndio achukue uamuzi mzito Kama aliouchukuwa!
Amekurupuka kwa kiasi fulani
 
Kama haujui kipi kinachoendelea basi ujue haya mambo hayakuhusu mwana,
Alafu kama unashindwa kujiongeza kwenda kuidownload basi endelea kusubiri utaletewa hapahapa JF

ukiwa una leta thread hakikisha imekamilika

usifikili wote hatuna kazi tuanza kufuatilia sijui bdozen sijui rubii hebu kua kama msomi
usitake nitilie shaka elimu yako
 
Role model wake atakuwa Dada mkuu lady Jay dee kwanini hizi conflict haziishi wasanii na clouds au ni kweli jamaa wanyonyaji?
 
Uyo tena awashukuru hao clouds mana kuimba hajui ule wimbo wake waliupromoti sana japo haukua na hadhi iyo
 
ukiwa una leta thread hakikisha imekamilika

usifikili wote hatuna kazi tuanza kufuatilia sijui bdozen sijui rubii hebu kua kama msomi
usitake nitilie shaka elimu yako
Sasa kama unakazi za kufanya si ukafanye? Sio lazima mpaka ujue kilakitu...
Wewe kausha tu
 
Back
Top Bottom