Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...

On JF:

Angalia mwenyewe. Tumepiga hatua kimuziki 10 Richest African Musicians 2017 Forbes List:
1 Reactions
18 Replies
5K Views
Msaada jamani kama unayo naomba unisaidiee...huu wimbo sijui umeimbwa na nani lakini huwa nausikia tu redioni....naupenda sana. "Mungu ni Mungu tu....atabaki kuwa Mungu tu"
1 Reactions
13 Replies
13K Views
New Music: Mbunge Ester Bulaya aijibu ngoma ya Ben Pol ‘Phone’, atumia ushairi na kuingia studio [http://aka-cdn-ns] Mbunge wa Bunda Mjini, Ester Bulaya ameonesha upande mwingine nje ya uwezo...
1 Reactions
25 Replies
6K Views
Wakati kukiwa na wakati mgumu wa kuchagua nani wa kuperform siku ambayo Donald Trump atakuwa anaapishwa, YG amejitokeza na bonge la ofa kwa Trump. Rapper YG ameamua kujitolea kuperform kwenye...
0 Reactions
22 Replies
2K Views
Sijawahi acha kumkubali huyu jamaa sio siri umri umeenda lakini njia anazopita sio mchezo. Kwa ndugu zangu wa 90's wanaelewa vizuri kua namaanisha nini. Huyu jamaa anajua sana embu sikia...
1 Reactions
1 Replies
872 Views
Wadau Salaam naomba mwenye kujua channels zinazoonyesha mpira wa AFCON anijulishe.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Movie zenu mtajiuzia wenyewe. Kama msanii unajiingiza kwenye siasa ili iweje? Someni namba sasa na bado.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wakuu, Wakati na nyapia nyapia mitandaoni nimekutana nayo hii.Ngoma kali ya kufungulia mwaka hii.Icheki kwenye sound cloud.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kwanza ningeomba Mods msiunganishe huu uzi Na mwingine! Nimetizama show ya Diamond na wenzake huko Gabon, mliotazama mtakubariana nami Wasanii wote 3 kila mtu alikua na Bendera kuwakilisha nchi...
4 Reactions
6 Replies
1K Views
Kuna ngoma hata ipite miaka kumi lakini ukaisikia leo hii unahisi kama imetoka leo kwa jinsi inavyokonga moyo wako. NA HIZI NDIO ZANGU KUMI. 10.Ali kiba - Mac Muga Huu wimbo umenifunza mengi...
6 Reactions
8 Replies
3K Views
Una maoni gani kuhusu uwezo wa kijana hapo? Wimbo unaitwa 'ungrateful'. Isikilize na download hapa.
1 Reactions
9 Replies
935 Views
DARASA - MUZIKI Mashabik & wangazaji: inaonekana diamond ameanza kuota mapembe. Darasa: aneota mapembe, muongezee mkia. Diamond: anaejiona yeye mkali tuweke mkali nan show au collabo. Darasa: let...
6 Reactions
52 Replies
16K Views
Haya ni maamuzi yangu binafsi na hisia zangu binafsi nimeona yafaa sana ikiwa hivyo ili niwe mzalendo wa nafsi yangu
4 Reactions
27 Replies
3K Views
Ikiwa leo ni fainali ya mashindano haya. Washiriki wapo 6, anahitajika mshindi mmoja atakayeibuka na kitita cha shilingi milioni 50 Usiku huu. ============== Mchuano umeanza, ushindani mkali sana...
0 Reactions
173 Replies
32K Views
Wakati wabongo wengi wakiendelea kulia huku na kule, baadhi yao wamejipanga kuteketeza 100,000/-ili kushuhudia show ya Ben Pol, Kajala na Wolper.
1 Reactions
0 Replies
655 Views
Habari za jioni wanaJF, Nitangulie kumshukuru Mungu kwa siku ya leo. Na ninamshukuru kunipa nguvu hadi kuwaangalia Zimbabwe wanavyomtesa bingwa wa jangwa(Algeria). Kwa mkiki wanaoupata Desert...
1 Reactions
0 Replies
705 Views
Napenda movie za aina hiii hua zinanifurahisha sana nyingine ni Merlin hawa watu wanajua kuigiza kiukweli,pia story zao tamu balaa,,kwa aliewah kuziona hizi movie anajua namaanisha nini,sasa hawa...
0 Reactions
27 Replies
4K Views
For every successful man, there has been long years of struggling.
0 Reactions
0 Replies
566 Views
Hello people kama Kuna mtu yupo dar atapenda tu exchange series na movie anicheki Nina series nyingi za kikorea na English series na nyinginezo Example-scandle Intelligence Mettador The...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…