STUNTER
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 13,075
- 17,237
Wakati kukiwa na wakati mgumu wa kuchagua nani wa kuperform siku ambayo Donald Trump atakuwa anaapishwa, YG amejitokeza na bonge la ofa kwa Trump.
Rapper YG ameamua kujitolea kuperform kwenye kuapishwa kwa Donald Trump lakini ndani ya Offer hiyo amefunguka kuwa ataimba wimbo wa Fuuck Donald Trump kwa mtonyo wa dola $4,000,000.
''I'll perform Fuuck Donald Trump at his inauguration for $4,000,000''- YG