Mbunge Ester Bulaya aijibu ngoma ya Ben Pol ‘Phone’, atumia ushairi na kuingia studio

Mjamaa masalia

JF-Expert Member
Nov 9, 2012
373
352
New Music: Mbunge Ester Bulaya aijibu ngoma ya Ben Pol ‘Phone’, atumia ushairi na kuingia studio

[http://aka-cdn-ns]

Mbunge wa Bunda Mjini, Ester Bulaya ameonesha upande mwingine nje ya uwezo wake katika siasa. Mheshimiwa Bulaya ni malenga wa kutisha na kuonesha kuwa yupo vizuri, ameijibu ngoma ya Ben Pol, Phone.

[Hébergement Internet, Cloud, et Serveurs dédiés - OVH]

Haijaishia tu kuandika mashairi, bali ameingia booth kwenye studio za Tiddy Hotter na kuyarekodi kwenye mdundo.

“Alinicheki akaniambia anapenda nyimbo zangu na hii Phone imembamba lakini ameandika kitu anataka nimpe msanii yoyote wa kike aiimbe,” Ben ameiambia Bongo5. “Nikamuomba arekodi yeye hata kama sio muimbaji basi aijibu kwa ushairi, akakubali.”

Msikilize na yasome maishari hapo chini.

Umesema nisishike simu yako,
Nisishike mpenzi wako,
Kipi siri yako, hasa ufichacho ?

Lazima niishike, mimi mpenzi wako,
Napaswa nijiridhishe, kipi ukilindacho?
Simu uitumiapo, hiyo si mboni yako,

Kwa sasa ni wapenzi,
ndio maana waniita baby,
Wapaswa kuwa wazi, kwangu si kwa aziz,

Sina mwingine mpenzi, ni wewe laaziz,
Lazima nilinde penzi, lisidokolewe na wezi,
Wewe ni wangu mwenzi, wivu hapa makazi,

Ninapoishika simu, ni faida ya mapenzi,
Nikijua kuna sumu, ihusuyo wavamizi,
Lazima nipate hamu, na kuweka vizuizi,

Nikishamjua mwizi, siwezi kukuacha,
Nitampa na ulinzi, penzi halitachacha,
Mwenye wazimu na penzi, simu hawezi acha,

Anayempenda wake, simu huchunguza,
Atavilinda vyake, vya simu huchombeza,
Na hiyo ni kazi yake, hapaswi kuchokozwa,

Mpende akiishika, simu yako ni yake,
Hupaswi kukasirika, umeuteka moyo wake,
Usione patashika, hayo majukumu yake,
Baby simu kuishika, ndiyo ulinzi wake,

Hakushikii mtutu, na silaha ya moto,
Anashikilia simu, penzi liwe motomoto,
Wapaswa kuwa muaminifu, hiyo si ngoma ya kitoto.

SHAIRI – MH. ESTER BULAYA (MBUNGE – BUNDA MJINI)
 
Mbunge wa Bunda Mjini, Ester Bulaya ameonesha upande mwingine nje ya uwezo wake katika siasa. Mheshimiwa Bulaya ni malenga wa kutisha na kuonesha kuwa yupo vizuri, ameijibu ngoma ya Ben Pol, Phone.

xBulaya.jpg.pagespeed.ic.40OUDxuPuR.jpg

Haijaishia tu kuandika mashairi, bali ameingia booth kwenye studio za Tiddy Hotter na kuyarekodi kwenye mdundo.

“Alinicheki akaniambia anapenda nyimbo zangu na hii Phone imembamba lakini ameandika kitu anataka nimpe msanii yoyote wa kike aiimbe,” Ben ameiambia Bongo5. “Nikamuomba arekodi yeye hata kama sio muimbaji basi aijibu kwa ushairi, akakubali.”

Msikilize na yasome maishari hapo chini.

Hon. Ester Bulaya - Phone (Majibu) - Prod. by Tiddy Hotter - download and stream

Umesema nisishike simu yako,
Nisishike mpenzi wako,
Kipi siri yako, hasa ufichacho ?

Lazima niishike, mimi mpenzi wako,
Napaswa nijiridhishe, kipi ukilindacho?
Simu uitumiapo, hiyo si mboni yako,

Kwa sasa ni wapenzi,
ndio maana waniita baby,
Wapaswa kuwa wazi, kwangu si kwa aziz,

Sina mwingine mpenzi, ni wewe laaziz,
Lazima nilinde penzi, lisidokolewe na wezi,
Wewe ni wangu mwenzi, wivu hapa makazi,

Ninapoishika simu, ni faida ya mapenzi,
Nikijua kuna sumu, ihusuyo wavamizi,
Lazima nipate hamu, na kuweka vizuizi,

Nikishamjua mwizi, siwezi kukuacha,
Nitampa na ulinzi, penzi halitachacha,
Mwenye wazimu na penzi, simu hawezi acha,

Anayempenda wake, simu huchunguza,
Anayempenda wake, simu huchunguza,
Atavilinda vyake, vya simu huchombeza,
Na hiyo ni kazi yake, hapaswi kuchokozwa,

Mpende akiishika, simu yako ni yake,
Hupaswi kukasirika, umeuteka moyo wake,
Usione patashika, hayo majukumu yake,
Baby simu kuishika, ndiyo ulinzi wake,

Hakushikii mtutu, na silaha ya moto,
Anashikilia simu, penzi liwe motomoto,
Wapaswa kuwa muaminifu, hiyo si ngoma ya kitoto.

SHAIRI – MH. ESTER BULAYA (MBUNGE – BUNDA MJINI

Nini maoni yako kw mbunge huyu.
 
Watu wengine bwana, eti wanaponda!!! Huyu si kafanya kama yule mvaa magunia? Tuache wivu wa usio na sababu
 
Endelea kukaza kamba Mh. Rais. Mamluki wameanza kujichuja wenyewe.
 
Back
Top Bottom