UrbanGentleman
JF-Expert Member
- Jun 19, 2016
- 2,585
- 1,885
Sijawahi acha kumkubali huyu jamaa sio siri umri umeenda lakini njia anazopita sio mchezo.
Kwa ndugu zangu wa 90's wanaelewa vizuri kua namaanisha nini.
Huyu jamaa anajua sana embu sikia alivyotambaa na uwezo wa Adele-hello.