yello masai
JF-Expert Member
- Jan 8, 2016
- 3,647
- 3,686
Angalia mwenyewe. Tumepiga hatua kimuziki
10 Richest African Musicians 2017 Forbes List:
10 Richest African Musicians 2017 Forbes List:
Inawezekana. Kamilioni nae umemuona? Namba 10kweli naona wachangiaji hapa wana-comment bila kuangalia video yenyewe
Kiba bado mtoto sanaAlikiba ni wa tatu Africa!
Heko kibakyl, domo atasubiri sana na no 9 yake...
Angalia vizuri mkuu kuna namba umeirukaMbona Diamond hata Top Ten tajwa hayupo?
List ni kama ifuatavyo;
10. Jose Chameleon
9. Sarkodie
8. Anselimo Raph
7. Koffi Olomide
6. WizKid
5. 2Face
4. D'Banj
3. P Square
2. Youssou N'dour
1. Hugh Masekela
Uliza hivi - sasa mimi inanihusu nini?Sasa sisi inatuhusu nini??
Una uhakika gani kama niko mwenyewe??Uliza hivi - sasa mimi inanihusu nini?
Una uhakika gani kama hauko mwenyewe??Una uhakika gani kama niko mwenyewe??
Nna uhakika siko mwenyewe na ndio maana nikatumia "sisi" na sio "mimi" kwenye post yangu ya kwanza!!Una uhakika gani kama hauko mwenyewe??
Bwana weee, wameingizwa MJINI,kweli naona wachangiaji hapa wana-comment bila kuangalia video yenyewe
Diamond hayupo kwenye orodhaInawezekana. Kamilioni nae umemuona? Namba 10
Bwana weee, wameingizwa MJINI,
Sawa na kupanda daraja la Manzese kwa hela