Haya ni maamuzi yangu binafsi na hisia zangu binafsi
nimeona yafaa sana ikiwa hivyo ili niwe mzalendo wa nafsi yangu[/QU
hongera mkuu na nikupe pole kwa kutambua hilo sasa wenzako tulishaisahau
.........ruge ni mbulula anachukuwa masaa matatu kumjibu lady Lady JD....,
Haya ni maamuzi yangu binafsi na hisia zangu binafsi
nimeona yafaa sana ikiwa hivyo ili niwe mzalendo wa nafsi yangu
binafsi huwa siisikilizi kabisa wala siangaliagi tv yake. Ila ninaamini itaendelea kuvuma kwa sababu soko lake kubwa ni vijana wa mtaani na wamama/wadada wa uswahilini ambao wengi wao if not all are not analytical na wanapenda udaku wa hii redio
Haya ni maamuzi yangu binafsi na hisia zangu binafsi
nimeona yafaa sana ikiwa hivyo ili niwe mzalendo wa nafsi yangu