Wimbo wa 'Mungu ni mungu tu, atabaki kuwa Mungu tu'

CHANZO

Senior Member
Mar 1, 2014
151
47
Msaada jamani kama unayo naomba unisaidiee...huu wimbo sijui umeimbwa na nani lakini huwa nausikia tu redioni....naupenda sana.
"Mungu ni Mungu tu....atabaki kuwa Mungu tu"
 
Last edited by a moderator:
Msaada jamani kama unayo naomba unisaidiee...huu wimbo sijui umeimbwa na nani lakini huwa nausikia tu redioni....naupenda sana.
"Mungu ni Mungu tu....atabaki kuwa Mungu tu"

ukiupata kwa namna yeyote zaidi ya kununua nakala halisi utakuwa umevunja ile amri wanayovunja mafisadi.
Wimbo utakuwa unakuburudisha ukiwa unaelekea kwa Lucifer.
 
Msaada jamani kama unayo naomba unisaidiee...huu wimbo sijui umeimbwa na nani lakini huwa nausikia tu redioni....naupenda sana.
"Mungu ni Mungu tu....atabaki kuwa Mungu tu"
Christopher Mahangila. Huo wa Youtube umeishia katikati, nunua CD yake zipo madukani tayari
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom