Wimbo unaitwa natanga na njia - umeimbwa na Ally star, nimeutafuta kila
kona bila mafanikio.
Nenda mtoni kwa Aziz ally pale stand ya daladala za kwenda kariakoo....kwa wanne star ....ananyimbo nyingi sana utapata
Ally star mkuuHahahahaaaaaa aisee we jamaa, nimejiuta nakumbuka kasha la album yake na ile picha yake kama kamwagiwa waji na nguo zimechanika. Kila bi mkubwa alipokuwa anaweka hiyo kanda nilikuwa najisogeza taratibu kwenye main switch na kui turn off, alafu nasema wamekata umeme. Siku aligundua lilitimka vumbi milango haikuonekana.
Hivi si alikuwa na Salma Kadogo or?
Hahahahaaaaaa aisee we jamaa, nimejiuta nakumbuka kasha la album yake na ile picha yake kama kamwagiwa waji na nguo zimechanika. Kila bi mkubwa alipokuwa anaweka hiyo kanda nilikuwa najisogeza taratibu kwenye main switch na kui turn off, alafu nasema wamekata umeme. Siku aligundua lilitimka vumbi milango haikuonekana.
Hivi si alikuwa na Salma Kadogo or?