Ujumbe; siku hazigandi by lady jaydee!

mtafiti05

JF-Expert Member
Oct 17, 2016
956
593
Huu wimbo nmeuskiliza asbh ya leo naona umejaa ujumbe tupu,
1.hata nisiowategemea leo wametugeuka(magu),
2.Niliowaheshm leo wamenihukumu(awamu5)
3.siku hazigandi(time will tell),
4. HAKUNA aliemsafi msijihesabie haki(Magu),
5.kila mtu ana dhambi( why wengn wajiita watukufu na hawatak kukosolewa?)

NOTE; siwapi tena nafasi(2020)!
 
Back
Top Bottom