Wimbo wa Hamornize-Niambie upo hewani

Freelancer Wakala

JF-Expert Member
Feb 6, 2016
1,193
828
e1c4407695a50bd41a2fc55ab2b923d2.jpg

Wimbo wa Harmonize uitwao Niambie upo ingia katika website ya wasafi kununua ni shilingi mia tatu ya kitanzania.
 
Sijawah kununua wimbo, as long as I can get any song whenever I want.

Jioni tu utaukuta youtube
 
Mia tatu ya nini? Wimbo wenyew hauna tofauti na za mondi. Maneno tuu ndiyo tofauti.
Nitumie MB zangu bado mia 3 tena? Sio kwa usawa huu .
 
Siwezi fanya ujinga wa kununua nyimbo, bora nisikilize kwaya kama vipi
 
Back
Top Bottom