series nzuri sana hii kuiangalia ila ina muda mrefu mpaka episode ya 700 na bado inaendelea.....haijaisha tu mtoa mada
Hii series ya Udaan sapnoki ulishawahi kuiangalia, na ulielewaje jinsi alivokuwa anaigiza mtoto Chakor.??????!
Duuh pole sana Mparee...namnani ahoHii series nimeangalia mpaka episode ya 100 hivi nikaona inanifanya silali usiku...