Team Destination - Naongea na Simi

dizzle kiraka

JF-Expert Member
Aug 12, 2012
416
118
Team Destination wameachia video ya wimbo wao mpya unaitwa Naongea na simu.Na wasanii wapya Ila kwa uwezo Wa kuimba na kuandika nawatabiria kufika mbali katika tasnia hii ya burudani.
Kutazama na kufownload video ya wimbo wao fuata link hii
Ushauri,kuwapa moyo,kuwakosoa vyote vinahitajika nami nitawafikishia ujumbe
Akhsante
 
Back
Top Bottom