Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...

On JF:

Kati ya vitu ambavyo vimelingana (rika) na TV ya mzee wangu pale nyumbani ni hii tamthilia ndefu kuliko zote ulimwenguni. Mimi najuuliza itaisha lini? Maana mimi nazeeka na yenyewe ndio kwanza...
0 Reactions
22 Replies
5K Views
Kiuhalisia mimi nimekuwa mfuatiliaji wa muvi nyingi ila hizi muvi za kuinspire watazamaji ndo nazpenda zaidi .....hii apa list yangu 1.UNBROKEN...hii ni bonge la muvi jamaa anatoka UK alkokuwa...
3 Reactions
58 Replies
9K Views
Breaking News ; mCHEZA sasa tupo hewani tembelea tovuti yetu www.mcheza.co.tz Jisajili, Cheza, shinda na mCheza, Nikuanzia jero tu (500/=) Itakuwa poa!!! Kwa msaada wowote piga 0764 701...
0 Reactions
17 Replies
9K Views
EAST COAST TEAM Mimi Deogratius Nalimi Kisandu ambaye kwa jina la Kisanii nafahamika kama "MASQO" Kati ya mwaka 2003/2004 nilifika Upanga anakoishi Msanii wa Bongo fleva na mmiliki wa kundi la...
1 Reactions
9 Replies
3K Views
Wakati wasanii wakipanda majukwaani na suti kuimba wale wenzao wa kike wanapanda majukwaani vitovu, matiti, mapaja na chupi njenje, hii inasababishwa na nini? Kitu gani kimepungua kwa wasanii wa...
2 Reactions
14 Replies
7K Views
EAST COAST TEAM Mimi Deogratius Nalimi Kisandu ambaye kwa jina la Kisanii nafahamika kama "MASQO" Kati ya mwaka 2003/2004 nilifika Upanga anakoishi Msanii wa Bongo fleva na mmiliki wa kundi la...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Hellow wakuu, Kuna wimbo nautafuta unasikika hivi Basomba gudu gudu basomba gudu gudu[emoji445] [emoji445] Eeeeehhhh [emoji445] [emoji445] [emoji445] [emoji445] basomba gudu gudu[emoji445]...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
NUNUA CD ZENYE STIKA YA TRA KUJENGA UCHUMI WA NCHI YAKO.IPE ROHO KITU INAPENDA
1 Reactions
7 Replies
4K Views
Wakuu,salaamu kwenu. Mimi ni mfuatiliaji mzuri wa riwaya pamoja na hadithi zinazo letwa humu Jamii Forum. Kwa muda sasa nimekuwa natafakari ninamna gani tunaweza kufanya au kuitumia ili kuwa...
2 Reactions
3 Replies
2K Views
SIMULIZI YA MAMA MBISSE! Hii ni simulizi aliyowahi kunisimulia Mama Mbisse ambayo nikiifikiria nakuwa nawaza sana kuhusu mambo ya dunia hii. ILIANZA HIVI…Baada ya mimi kuondoka kijijini siku...
0 Reactions
5 Replies
10K Views
Wapendwa wangu leo nataka nianzishe mchezo ambao hauna hasara kwako bali faida. Unachotakiwa kufanya: Taja herufi tatu za mwanzo za majina yangu matatu. Mfano. Japhet Michael Mbwambo...
1 Reactions
12 Replies
1K Views
Nakumbuka mwanzo wa muziki wa bongofleva watu wazima walichukizwa na mtindo huo na kuziona nyimbo hizo kama za kihuni. Ni baada tu ya jitihada kubwa za baadhi ya wasanii maarufu kama akina Sugu...
0 Reactions
34 Replies
8K Views
Vikings ni moja kati ya series nazozikubali sana. Season 5 imeanza kurushwa hivi karibuni. Floki na Ivar the boneless ndio characters wanaonivutia kwa sasa baada ya kufariki Ragnar Lothbrok. Wale...
0 Reactions
4 Replies
4K Views
jje's upo mama?
0 Reactions
0 Replies
450 Views
Tazama kionjo kuanzia sec ya 44 hadi ya 52 ndipo utaamini mondi kaibaa katika wimbo wake wa waka
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Safi sana kijana Nasibu.haya ndiyo mapinduzi ya Mziki..na wewe ndiyo kiwanda cha mziki Tanzania..Hongera sana. Kimataifa zaidi.. ukiona lugha inakusumbua kwa hii ngoma basi msubili Lavalava...
8 Reactions
72 Replies
17K Views
Ebwana huyu dogo kwa mara ya kwanza nilisikia wimbo wake katika lile tukio la ajari ya wanafunzi kule arusha, na baadae nikasikia wimbo wa Amisa mobeto, Sifa kwa wanawake na nyinginezo nyingi...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wana jf mimi ni kijana miaka 23 ndo nachipuka ki muziki,nahitaji meneja wakuniwezesha ili nitoke na nitambulike.nikk vizuri sana nimeshafa maojiano na vituo mbalimbali za redio na tv na mpaka sasa...
1 Reactions
33 Replies
11K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…