OME123
JF-Expert Member
- Oct 4, 2010
- 1,497
- 606
Wana jf mimi ni kijana miaka 23 ndo nachipuka ki muziki,nahitaji meneja wakuniwezesha ili nitoke na nitambulike.nikk vizuri sana nimeshafa maojiano na vituo mbalimbali za redio na tv na mpaka sasa nimetoka single mbili na hata kwenye you tube unaweza kuzicheki kazi yangu.aksanteni