mr qns
Senior Member
- Jan 3, 2018
- 193
- 197
movie tayari imeanza kuonyeshwa kwenye majumba ya sinema duniani kote na inategemewa kuvunja rekodi ya box office ,tutegemee hata black panther itapitwa hapa mana hata black panther imo ndani yake humu!! imegharimu milioni 400 bajeti ya wizara yako!! OK mlioiona tayari tafadhali msituharibie utamu hapa .....tutoe tu maoni kama movie unaipa 100 au 200

