Msaada kwa mwenye wimbo wa O-ten ft Hard Mad

Nelson nely

JF-Expert Member
Jan 25, 2014
4,226
2,000
Habar wandug, naomba msaada kwa mwenye wimbo wa O-ten ft Hard Mad-Voice mail anitumie mana nimeutafuta sana mtandaon cjaupata.


najua JF ndio kila kitu

Sent from my HUAWEI Y625-U32 using JamiiForums mobile app
nilizaliwa moro na hata nikifa maiti yangu iende moro....
Naweka wazi adui yangu asinizike...
Ninapenda mademu ninapenda pombe ninapenda sigara yani ful ngwamba....
DAAH MKUU wimbo uliouomba sina
Napendwa na wajinga mimiiii!
Nasifiwa na washamba miimii
Napendwa na madem nasifiwa na wahuni mimiiii......*hamna lolote
 

Evelyn Salt

JF-Expert Member
Jan 5, 2012
48,705
2,000
Download videoder, hapo utapata wimbo wowote ule unaoutaka. Ila haipo play store utaipata kwa google
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom