BONGE LA ACTION MOVIE!!!!

No Thanks, ni bora nikaangelie Porn, nitapata mafundisho mawili matatu kuliko huu upuuzi. Sorry man
 
Habari za leo
Tamthilia mpya ya kiswahili inaitwa "DHAMIRA" ni story inayo onyesha watu kijijini na mjini, jinsi wanavyo pigana kuboresha maisha yao katika mazingira na hali ngumu. Ni story yenye, action, mapenzi, uchawi na mengi zaidi! USIKOSE!
Waigizaji ; Jumaa Mtima, Prosper Kire, Halima Mualid, Asha Saidi, Yahaya Haisu, Christina Zakariah Na Tariq Ramadhani
 
hii ndo hd kali au monitor ya spika yangu inakwangua. ila hongera umetenda
kama unataka hd quality lazima uchange setting hapo youtube...ongeza quality ya video kwasababu Youtube inaiweka qualiity ndogo isile Mb nyingi braza!
upload_2018-4-25_11-31-36.png
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom