Hayawi hayawi yamekua! Nenda tu babu

Hayawi hayawi yamekua! Nenda tu babu

Na hiyo timu ni lazima istep down zaidi haiwezi kubaki salama....
Itapotea jumla EPL, inakwenda league 1.
 
Umri umekwenda, age mates wakina Alex Ferguson wanacheza na wajukuu sasa. Wenger baliibua vipaji na akiamini vijana.
 
Umri umekwenda, age mates wakina Alex Ferguson wanacheza na wajukuu sasa. Wenger baliibua vipaji na akiamini vijana.
babu katutesa sana aisee since mtoto mpaka nakaribia uzee sasa ndoo ya Epl imekua ndoto kubwa[emoji2]
 
Hii habari ya kuondoka kwa Wenger imepokelewa kwa vifijo na nderemo kama ilivyopokelewa ile habari ya Mzee Mugabe kuondolewa kitini pale Zimbabwe
 
Back
Top Bottom