kalagabaho
JF-Expert Member
- Nov 4, 2010
- 5,457
- 5,898
Naona wanacheka wenyewe na kupigana tu na hili li jamaa llinene linavaa minguo michafu iliyochanika dah!!.. bongo bado sana!
Angalia TBC!
Una yako wewe c bureNaona wanacheka wenyewe na kupigana tu na hili li jamaa llinene linavaa minguo michafu iliyochanika dah!!.. bongo bado sana!
mambo jiwe!.Una yako wewe c bure
Una yako wewe c bure
Sometimes huwezi kucheka wakati unawaza kodi ya nyumba, deni la mangi, mshahara haupandi, mafuriko, n.k
Inawezekana ndiyo inawezekana siyo.Wapangaji wangu wananilipa kwa wakati sina shida nao kbs.. tatizo.haya majitu hayachekeshi
Trevor huyu m XHOSA ni hataree kwenye komediWote ndo hao hao nipo youtube now namcheki Trevor Noah!! Comedy za bongo hovyo sana comedy gani zinakera badala ya kuchekesha? .. hopeless kabisa
Kuna kipindi nilikuwa naangalia hiyo futuhi afu nacheka sana...watu hawakujua kwamba nilikuwa nacheka sababu comedy haichekeshi. Nachekaga wanavyoangaisha kuchekesha afu wanashindwa wanaishia kupigana tu...haha!
Kama idris sultani huwa nacheka sababu he is not funny at all.
Inawezekana ndiyo inawezekana siyo.
Sometimes ni mindset tu mfano mimi movies za kibongo, ghana na nigeria siwezi ziangalia japo unaweza kukuta mtu anasifia kuwa waghana wanajua mimi naona wote hawajui.
Pia siwezi tazama movie yoyote iliyotafsiriwa kwa kiswahili unless sauti ziwe dubbed kama movie ya Yesu au ile michezo ya kihindi ya Azam.
So ni mindset sometimes inakuwa siyo mbaya ila tu mtu ushajiwekea hivyo
Trevor huyu m XHOSA ni hataree kwenye komedi
Braza K tu ndiye nampenda na siyo scene zote ni baadhi.Lkn kama wanakuchekesha fresh tu ila kwangu kwa muda niloupoteza leo wanisahau
Una yako wewe c bure