Ney wa mitego amponda lipumba asiwe king'ang'anizi

Kifaru86

JF-Expert Member
Apr 22, 2017
1,734
3,802
Katika wimbo wake unaitwa "nasema nao"

Msanii ney wa mitego ameamua kumchana profesa lipumba asiwe king'ang'anizi ndani ya chama ambapo katika huo wimbo ney wa mitego anasema

"Usiwe king'ang'anizi kama profesa lipumba kila siku ni wewe kwani wengine hakuna".

Source ya wimbo yotube unaitwa nasema nao
 
Mwenyewe anajijua kama vijana wameanza kumweka kwenye rekodi yungari yupo hai.
 
Kinachonifurahisha ni mleta uzi anavyong'ang'ania kua wimbo ni mpya
 
Back
Top Bottom