Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...

On JF:

Kwa wale mnao ujua wimbo wa Marehem fanuel sedekia wimbo wake wa manukato, kuna jamaa kauimba kama recorded sikiliza
0 Reactions
0 Replies
947 Views
Inaitwa Nostalgia.
3 Reactions
17 Replies
3K Views
Zifuatazo ni tracks kumi za Notorious B.I.G ambazo kila siku nikizisikiliza hazichuji masikioni mwangu namm naburudika as if the king is still out there; Ten Crack Commandments Get High ft the...
3 Reactions
19 Replies
3K Views
Kwa wale wapenzi was soka kama mnavyojua mwaka huu kule urusi yale mambo yetu yamerejea tena. Ningependa Uzi huu tubashiri nani atakuwa mbabe dhidi ya wenzake. Ningependa pia tuweke na sababu...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Hi guyz!! Kwani ile league yetu ya wanawake ambayo TFF ilianzisha iliishia wapi, Maana hadi leo sijui a wala z tanzania bhana!!
1 Reactions
2 Replies
785 Views
Kwa Wale wazee wa movie. Hebu tujuzane movie kali uliyoikubali kuanzia scenes arrangements, location, actors, scenes originality, story originality na vingine vingi. Kwangu mimi Tangu nianze...
14 Reactions
461 Replies
55K Views
Ukitaka kuangalia series za kihindi zenye subtitle ya kiingereza unatumia program gan
0 Reactions
2 Replies
839 Views
Naomba kuuliza dstv wataonesha kombe la dunia?
0 Reactions
13 Replies
2K Views
mwenye link yeyote itakayonifanya niipate nyimbo ya jose mara chozi la yatima please anipe hii nyimbo naikubali kweli
0 Reactions
5 Replies
4K Views
'hellow there................wanajamvi wote natumai ni wazima kabisa,mwenye mawasiliano na ENIKA naomba ani-check PM please nna shida nae muhimu sana kama unamfaham au ni mtu wako wa karibu...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
ZA KUTWA MARAFIKI NA NDUGU ZANGU , UMUHIMU WA MALEZI YA MAMA HAYANA MFANO, NAPENDA KUCHUKUA NAFASI HII KUWATAKIA WAKINA MAMA NA WALEZI WOTE WANAOVAA UHUSIKA WA MZAZI KAMA MAMA WIKI NJEMA KWENU NA...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Zawadi bora kwa mama zetu kutoka kwa dada yetu Aunty Ezekiel (mama Cookie Iyobo) Katika kuadhimisha siku ya mama duniani, Aunty Ezekiel amekuja na kitu kizuri kama zawadi kwa mama zetu popote...
0 Reactions
20 Replies
6K Views
Wakuu,,kuna background music flani ivi huwa inapigwa kwenye EATV Pale kipindi kikiwa kwa hewa afu wanaenda break asa ndo huwa inapigwa hiyo nyimbo kiduchu,,,ni ngoma flani ivi ya mbele,,, naomba...
1 Reactions
6 Replies
978 Views
Hivi hawa wakali wa nyimbo za miduara wamepotelea wapi
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Kweli hii dunia kutesa kwa zamu. Yanga ilokuwa inamwaga mipesa kwa usajili wa wachezaj enz hzo Tp Mazembe kashuha bongo tunaambiwa viingilio bure. Yanga ya siku hizi ni kituko kwa...
1 Reactions
9 Replies
3K Views
Niwape pongezi azam media kwa hiki kipindi, ni kipindi bora kabisa na cha kuvutia, kina uhalisia kabisa wa mziki hasa wa kitanzania kipindi hicho. Ni "live band" ya nguvu, ni pongeze UTALII BAND...
0 Reactions
14 Replies
4K Views
Husikeni na somo tajwa hapo juu. Haya mashindando ambayo yalikuwa yanahusisha nchi tofauti za afrika mashariki yameishia wapi? Mashindano haya yalikuwa ni burudani murua na yalikuwa yanaonyesha...
0 Reactions
1 Replies
847 Views
ijumaa njema kwa wote tulio weza kuiona.ila leo katika kazi nimeona bora kuwasha tv ofisini nika weka tv moja,kwa hapa jijini ndio tv inayo weza kukupandisha na kukushusha katika tasinia za sanaa...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Wenye timu zenu kazi kwenu kwani sie wengine tunapenda mziki mzuri tu ila kind Kiba hii ni kind flop although nice song!! !
0 Reactions
48 Replies
7K Views
Back
Top Bottom