World cup 2018

mwenye shamba

JF-Expert Member
May 31, 2015
883
1,000
Kwa wale wapenzi was soka kama mnavyojua mwaka huu kule urusi yale mambo yetu yamerejea tena.

Ningependa Uzi huu tubashiri nani atakuwa mbabe dhidi ya wenzake.

Ningependa pia tuweke na sababu za kwanini umemchagua mbabe huyo,mfano aina ya wachezaji,mbinu,kocha historia n.k

Karibuni.
 

mwenye shamba

JF-Expert Member
May 31, 2015
883
1,000
Mimi ni team German, sababu ni zifuatazo;
1.inawachezaji wengi wenye umri mdogo na wazoefu.
2.Mara nyingi huwa anashiriki mashindano makubwa akiwa underdog lakini mwisho wa Siku anaibuka Kuwa mbabe.
3.kocha was kikosi hiki no mtu mwenye damu ya njaa ya mafanikio
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom