Ni filamu gani uliyowahi kuiangalia na ukaikubali kwa asilimia zaidi ya 90?

King_Villa

JF-Expert Member
Feb 6, 2012
575
378
Kwa Wale wazee wa movie.
Hebu tujuzane movie kali uliyoikubali kuanzia scenes arrangements, location, actors, scenes originality, story originality na vingine vingi.

Kwangu mimi Tangu nianze kuangalia movie ya MAD MAX FURY ROAD sijawahi kuona tena movie kali kama ile.
Kiukweli wameitengeneza katika uhalisia wa aina yake.
Mpangilio wa Visa unaeleweka hata bila ya kusikiliza maneno.

Washiriki wameweza kucheza katika nafasi zao kila mmoja akionesha umahiri kwa nafasi yake.

Pia mwanamke amepewa nafasi ya ujasiri mkubwa huku location zikitumika ambazo sio rahisi kuzipata.

Pia ni filamu ambayo imebase kwenye action ( hakuna stori ni kashkash mwanzo mwisho.)

Huwezi kusinzia ukiangalia hii filamu. Huwa naingalia bila kuichoka.

Kiukweli kwa upande wangu MAD MAX nimeikubali.

Sasa vipi kwa upande wenu wadau wa Filam?
 
Ile ni studio.

2014
The Equalizer
2015
Momentum
2016
Gods of Egypt
2017
Kong skull island
2018
Black panther
Hiyo ndo list yangu


I'm movie's enthusiasts
Studio vipi mkuu?
Una maanisha hakuna location ya aina ile?
Nitoe tongotongo kidogo
 
Hangover 1,2&3
Taken 1,2&3
John wick 1&2
Hitman 1
New jersey drive
Soul food
The family that prays
This chrismass
Tears of the sun
Catch a fire
Xiii Conspiracy
Most wanted
Bourne series
Shooter
Traveller
Wrong turn 1-5
Hostel 1-3
Hitmans bodyguard
Puss in boots
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom