Nabii kibonge
JF-Expert Member
- Mar 15, 2018
- 277
- 310
Kweli hii dunia kutesa kwa zamu. Yanga ilokuwa inamwaga mipesa kwa usajili wa wachezaj enz hzo Tp Mazembe kashuha bongo tunaambiwa viingilio bure.
Yanga ya siku hizi ni kituko kwa kweli. Mambo yao yanaend ki kocal local tu et tim kubwa kama hii ndio ya kuwa na sub 2 kweli!??
Inamana wachezaj wa tim B hawapo au maana bado najiuliza
Yanga ndio ya kwenda kumuazima(sio kumnunua) Adam Salamba wa Lipuli kwa ajili ya michuano ya shirikisho??
Kweli kutesa kwa zamu aisee