Tumalize huu ubishi ulioenea mtandaoni. Je, kati ya malkia wa bongo fleva Shilole a.k.a Shishi baby na msanii chipukizi (underground) anayeheshimika Juma Jux nani mkali zaidi?
Kwa wale...
Wakuu inakuaje, nina amini kila mtu yuko vizuri kiafya au sio wakuu.
Sasa leo nawaletea mada muhimu, na yenye kueleweka vizuri kwa kila mtu atakaesoma thread hii. Mada hii inamhusu rapper maarufu...
Tafadhali naomba ukiwa kama mwana Wenge BCBG yake JB Mpiana uniambie ni kwanini Nyimbo hizi Nne zifuatazo haziishi Utamu na wala hazichuji miaka nenda rudi?
1. Champion Kapangala ( Sebene )
2...
Mnaikubuka hii movie ya Ajay davigan inaitwa Vijay path aise Kuna song umo demu alikua anawaza baada ya mshikaji kumualika kunywa chai aise vya kale zahabu zile alaaa zinavyopigwa Yan madogo wa...
Comedy clips huku background kuna vionjo li mtu linasema "i don't want peace, I want problems", au wimbo unaimba "nyash na nyash" au nyingine mtu anacheka mfufulizo kama mwehu huwa zimekaa...
Hii series nimeipendea confor ya Mr President. ila pia malezi yawatoto
mwenye nayo naomba usiku huu huuu
Tyler Perry's The Oval - Season 3 hii link sio rafiki
Ulikua ukipigwa kwenye maredio siku ya ukimwi duniani. Sana sana kwenye Rtd sasa TBC.
Maneno ya wimbo'
Jamani ee
Sikilizeni niwaeleze haya, janga la ukimwi halina dawa wala kinga,.
HOUSE OF GUCCI
Ni mwaka 1978 katika jiji la Milan nchini Italia, nchi ya fasheni na mitindo mbalimbali ya mavazi.
Palikuwepo familia kubwa,
Familia ya Gucci.
Ilikuwa familia tajiri,yenye nguvu...
Movie Kali sana 🔥🔥🔥
Ungekua wewe Peter unachagua upande Gani Jini au Wazazi 😉kigongo kikali sana 👇🏾👇🏾
https://www.instagram.com/reel/DIt-YfGtmar/?igsh=cG9lYmtnMjRmcGZl
Wana jamvi kama inavyosomeka hapo juu nina shida ya huu wimbo wa Kassim Mganga, aliuimbaga kitambo kidogo na nimejaribu kuutafuta katika sites mbali mbali lkn nimeukosa, aliyekuwa nao naomba...
Nina mtoto wa kiume yupo darasa la 6,
Nimepewa barua kuna Talent show itafanyika shule zitapofungwa mwezi wa sita, Shule imetuasa wazazi tuwasaidie watoto kushiriki.
Kitu anachokiweza zaidi ni...
Kama unapenda movie za kutisha basi hii movie ya kuangalia sikukuu ni movie Kali yenye mafunzo ndani yake.
Sio kila kijiji lazima ulipelekee familia yako kwa kuwa umepangiwa kwenda kufanya kazi...
Habarini za kazi wadau?
Jamani mimi ni mpenzi sana wa movie za kutisha na inafikia wakati cpendi filamu ambazo hazina maudhui ya kutisha.
Baadhi ya filamu ambazo binafsi nimewahi kuziona na...
***SORY MADAM*******(1).
AGE………………………………….18+
WRITER……………………………EDDAZARIA G.MSULWA
Ni siku ya jumamosi kama kawaida wanafunzi waote wa shule tunayosoma tunakwenda viwanjani kucheza michezo...
Huku Kwetu nchini Tanzania tunawaita Marapa / Waghani ila kwa wenyewe Wakongo kutoka Kinshasa na Brazaville wanawaita Atalakus na kwa Wafaransa na Kifaransa wanaitwa Animateurs kutokana na umuhimu...
Lana Del Rey - Henry come on Mp3 Download
At long last, Lana Del Rey has officially released the new song “Henry, Come On.” Find the track, which the singer-songwriter has been teasing for over a...
The Day of the Jackal
2024 ‧ Thriller ‧ 1 season
Muhtasari
Mshambulizi maarufu, Jackal, anapokuwa akitafuta kurudi kwa Nuria, anakuwa miongoni mwa wahalifu wanaotafutwa, huku Bianca akipewa fursa...
1: Nas - New York State Of Mind
"I never sleep, cause sleep is the cousin of death. Beyond the walls of intelligence, life is defined. I think of crime when I'm in a New York state of mind"
2...
Kwetu sisi wafuatiliaji wa tamthilia hii maarufu sana, naamini toka Enzi hizo ikianza wengi tumekua tukiingia na kutoka lakini mwisho wa siku bado tunapata ule utamu wake.
Basi tutumieni hili...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.