Thelionden
Senior Member
- Apr 7, 2018
- 165
- 161
Wale tunaoshabikia mchezo huu japo kwa nchi yetu tumebaki wachache sana ila ni vyema kuendelea kujadiliana yanayojiri. Tarehe 15/09/2018 kutakuwa na mpambano wa kukata na shoka wa marudiano kati ya bondia kutoka mexico Saul Alvarez Canelo na mkazakstan Genady Golovikin ss kama wadau tunaomba tukutane hapa ili kuhabarishana machache yatakayojiri na nn maoni yako ikiwa ni pamoja na kupiga kura kwa bondia umtakae.