BSS 2018 yalejea

BSS 2018 yalejea

SOLDIER GENIUS

JF-Expert Member
Joined
Mar 3, 2015
Posts
358
Reaction score
242
Piga hatua jiongeze,ndio motto wa BSS 2018...Walter chilambo,Frida Aman,Kayumba,Kala Jeremiah ni zao la mashindano haya..get ready for new singing talent...
Yanarejea...
 
Wataonyeaha kupitia channel gani na mbona.zawadi hawakuweka hadharani
 
Si walikuwa wanadaiwa kodi iliyojilimbikiza. Msamaha si umepita kwa kufutwa kwa malimbikizo ya kodi. So they are back in business ingawa mafanikio ya juu bado.
 
Back
Top Bottom