Pakua app inaitwa history channel ipo google play store ina vitu vingi sana,kuna categories km BBC documentaries,military,history,top gear etc,nadhan utapata unachotafutaWadau naomba kama mnafahamu mahali ninapoweza kupakua makala mbali mbali (documentaries) mfano,Who build America,Escoba na zingine kama za ujenzi,viwanda,uchunguzi etc
Asanteni sana
Ingia in the library of congress hapa kuna kila nondo unayoitakaWadau naomba kama mnafahamu mahali ninapoweza kupakua makala mbali mbali (documentaries) mfano,Who build America,Escoba na zingine kama za ujenzi,viwanda,uchunguzi etc
Asanteni sana