Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...

On JF:

Nina Amini music unanguvu kubwa zaidi ya risasi. Asiweke Lugha matusi, Kuna MTU anahitaji BREAK za kutosha ikibidi vingingi. Katika maisha Tunahitaji faraja na matumaini toka kwa BABA, Sio kauli...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
jamaa wametoa album mpya mwaka huu inaitwa mobile orchestra. ni nzuri sana.
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Henry Pope Henry Pope ni jina la kutaja uhusika wa katika kipindi cha televisheni cha Kimarekani, maarufu kama Prison Break. Uhusika huu ulichezwa na Stacy Keach. Katika mfululizo huu, alicheza...
1 Reactions
2 Replies
811 Views
SAMSUNG S6 EDGE PLUS ...... Ram 4GB Internal Memory 32GB Displacy Inch 5.7 Used for 4weeks Its Gold 4G support Haina tatizo lolote Ni mpya kabisaaaaaa 600,000tsh TUNAONGEA
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari,, Dancers wanawake wanatafutwa mkoa wa mbeya Vigezo; 1) Awe umri wa miaka 23_26 2) asiwe mnene 3) awe anaweza kutwerk na kudance Kama unahitaji nifate PM N.b hela ni nzuri [emoji184]
0 Reactions
5 Replies
845 Views
MTUNZI: George Iron SEHEMU YA KWANZA Safari nzima hakutaka kuzungumza na mtu yeyote hivyo alikuwa amepachika �earphone� masikioni mwake ili hata asiweze kusikiliza watu walikuwa...
5 Reactions
90 Replies
15K Views
Unaweza kusema hii ni moja ya faida ya utandawazi ambapo lugha, tamaduni hadi nyimbo za nchi moja huweza kuwafikia wengi katika mataifa mengine yenye tamaduni tofauti. Hali hii husababisha hata...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
. Hivi ndio jinsi ilivyoanguka ndege iliyokuwa imembeba mmiliki wa club mabingwa 2016/2017 (Leicester city) ndani ya helicopter hiyo pia kulikuwa na jumla ya watu 5 [emoji120][emoji120][emoji120]
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Kutokana na bwana MICHUZI tunaambiwa kuwa hawa ndio ma supastar wa BONGO mimi kwa kweli i am still shocked na najua hii itakuwa controvesho lakini who cares kwa sababu za UJINGA WAKE bwana...
0 Reactions
7 Replies
4K Views
http://www.youtube.com/watch?v=UeJ-87dj9lY
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Mtunzi Nyemo Chilongani SEHEMU YA 01 Sijui nianze kusema nini ili nieleweke, sijui kama ninatakiwa kucheka au kulia kwani kwa kile kilichotokea, ningependa Mungu anisemehe tu. Kwa jina ninaitwa...
9 Reactions
185 Replies
23K Views
Habari wanajamvi. Nisiwe msemaji Sana niende moja kwa moja kwenye Mada. Naomba tushirikishane kutaja kolabo za wasanii wa muziki unaodhani mbele wakishirikiana kutoa kazi itashika Sana soko la...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Anayefahamu wimbo wenye maneno (nyie wote wake zangu mapenzi yangu kwenu ni sawa tupendane ndio heshima ya ndoa) naomba anijulishe band iliyoimba na jina la wimbo wenyewe maana naupenda na...
0 Reactions
0 Replies
867 Views
Kwa mlioiona. Nipo namaliziamalizia season 2. iko poa sana hii series. Huyu Teresita ananikosha sana. nili somaga kitabu El Narco basi nikatokea kupenda stori za hawa madrug dealers, nikacheki...
5 Reactions
32 Replies
4K Views
Leo bhana kuku ameongea kabix baad ya jamaa flan kwenda kumchinja kuku akasem niachee::: jamaa akamwachia kwa uoga xana
0 Reactions
3 Replies
895 Views
Ninapita tu
0 Reactions
0 Replies
400 Views
Kwa wale wenye uhitaji wa kuongeza Followers instagram na Likes FB Download app ya kuongeza followers instagram na kuboost likes FB
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Audio: Brother K & Wapancras – Mrembo wa Buseresere - SYLI CLASSIC MUSIC
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wakuu nazani pesa zetu za vifurushi zinaenda tu especially cc wa azam maana tunalipia vifurushi lkn channel nyingi zimezuiliwa hadi sasa kwani tatzo ni nn na lini mwisho wake
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Nianze kwa kusema wewe ni DJ unae heshimika sana.hapa jijiji DSM na.Tz kwa ujumla but kwa hili.nalizimika.kukumbusha ili usiendelee kujisahau. Ni hivi kila.Siku ya Jumamos Dj Masoud Masoud huwa...
4 Reactions
10 Replies
3K Views
Back
Top Bottom